FAHAMU MENGI KUHUSU SISI
Elimun ya anga na sayansi na tekinolojia ni Jukwaa lililoanzishwa na watanzania kuhusu kutoa elimu mbali mbali zinazohusu mausala ya anga za mbali na ulimwengu kwa ujumla tangu kuwa tanzania imekuwa kuna ugumu wa kupata elimu hii kwahiyo vijana tukajiuliza kwanini tusijumuike pamoja na kuweza kuunda suala ambalo litaweza kutuweka pamoja na kuunganisha akili zetu mawazo yetu pamoja ili kuweza kutoa elimu kwa umma wetu wote wa tanzania kwakuwa wengi wanahitaji kufahamu ila hawakupata eneo maalumu la kuweza kujifunza elimu hiyo
0 comments:
Post a Comment